Ripoti ya kina ya T-log

Kuna moduli ya Therap inayotoa njia nyepesi na yenye ufanisi kwa ajili ya taasisi kuweka na kugawa maelezo ya kuhama,maelezo ya kesi,maelezo ya taarifa za mawasiliano na logs kwa ufanisi.watumiaji wanaweza kutoa ripoti za kina za moduli ya T-log zinazohusiana na mtu binafsi.ripoti inaweza kutafutwa kwa kuchuja majina ya watu binafsi,tarehe iliyotengenezwa,kiwango cha taarifa,aina na hali.

Watumiaji wenye jukumu la Report Library wanaweza kutoa ripoti za kina za T-log

1.  Bonyeza kwenye tabu ya Agency report kutoka kwenye dashboard.

2. Bonyeza kwenye View Link pembeni na Report Library.

3. Itafungua ukurasa wa List Of Reports.andika T-log kwenye eneo la Report Name na ubonyeze kitufe cha Search.

ISP program on therap dashboard

4. Baada ya kubonyeza kwenye kitufe cha Search, itaonesha List of Reports zinazohusiana na moduli ya T-log.

ISP program on therap dashboard

5. Bonyeza kwenye T-log Detailed Report na itafungua ukurasa wa T-log Detailed Report. wasilisha From Date na To Date na ubonyeze kitufe cha continue.

Muhimu: Tarehe haitakikani kuzidi miezi miwili.

ISP program on therap dashboard

6. Itafungua ukurasa wa T-log Detailed Report.

ISP program on therap dashboard

Bonyeza kwenye kiunganishi cha Export to Excel ili kupata ripoti ya excel.

ISP program on therap dashboard

 Share on WhatsApp