Sasisha Taarifa Za Mtumiaji

Watumiaji waliopewa jukumu la Administrative wanaweza kuona na kuhariri taarifa za mtumiaji.


1. bonyeza kwenye kiungo cha
List(orodha) pembeni na chaguo la user (mtumiaji) kwenye tabu ya Admin.

2. Chagua User (mtumiaji) kutoka kwenye ukurasa wa User List (orodha ya mtumiaji)

3. Kiboksi cha chaguzi za utaftaji pia zinapatikana kwa kutafuta mtumiaji, kwa kujaza maeneo yoyote ya wazi : Login Name, First Name n.k.

Bonyeza kwenye kiboksi cha Login Name (jina la kuingia) la mtumiaji ili kuangalia taarifa.

4. Kwenye ukurasa wa Update User Information (sasisha taarifa za mtumiaji), akaunti ya mtumiaji na eneo la taarifa za muajiri zinaweza kuhaririwa.

Kumbuka: Watumiaji hawataweza kuhariri sehemu za User Initials, Login Name, Status na Self Enroll Account.

5. Bonyeza kwenye kiungo cha Go To Personal Details (enda kwenye taarifa binafsi) au kwenye kitufe cha Update and go to Personal Details/sasisha na enda kwenye taarifa binafsi (kama mabadiliko yoyote yalifanywa) ili kuhamia kwenye ukurasa wa Personal Details/taarifa binafsi.

Kama taarifa muhimu zimesha sasishwa,bonyeza kwenye kitufe cha Update/sasisha.

6. Kwenye ukurasa wa Personal Details/ taarifa binafsi za mtumiaji,taarifa binafsi za mtumiaji na taarifa zingine za mawasiliano zinaweza kuhaririwa.

7. Baada ya kusasiha taarifa za mtumiaji,bonyeza kwenye kitufe cha Update/Sasisha  kuhifadhi mabadiliko yoyote.

8. Baada ya kubonyeza kwenye kitufe cha Update/sahihisha,ujumbe wa mafanikio kwenye kusasisha taarifa utaonekana.

 Share on WhatsApp

Related user guides