Kufuta Eneo
Mtumiaji mwenye jukumu la Provider Setup Administrative Role analo jukumu la kufuta eneo husika , mtuamiaji atanatakiwa kuhakikisha kabla ya kufuata eneo , ahakikisha eneo la programu haziungani. Kujua zaidi namna kubadilisha eneo tafadhali bonyeza hapa.
1. Bonyeza kitufe cha List pembeni ya kiunganishi cha Site kwenye tabu ya Admin.
2. Katika ukurasa wa Site Search chagua kitufe cha Site/eneo ambalo unataka kufuta , au unaweza kuweka jina la eneo katika sehemu ya filter ili kupunguza orodha na kupata jina kiurahisi.
3. Chini kabisa ya ukurasa wa Update/Delete Site bonyeza Delete kuweza kufuta eneo.
4. Bonyeza kitufe Yes kufuta eneo.
Utaona ujumbe wa kufanikiwa eneo limefutwa “Site has been deleted”.