Sahihisha Eneo
Ukihitaji kubadili taarifa za Site, unaweza kufanya hivyo kwa kusahihisha taarifa za eneo husika .
Mtumiaji mwenye Provider Setup Administrative Role ana uwezo wa kusahihisha/kufuta mahali katika eneo husika la shirika.
1. Bonyeza kitufe cha list pembeni na eneo kwenye tabu ya Admin.
2. Katika ukurasa wa site search,chagua eneo unayopenda kusasihisha . Unaweza kuingiza jina la eneo kwenye nafasi ya filter ili kuchuja na kupata orodha fupi.
3. Utaelekezwa kwenye ukurasa wa kusasisha/futa eneo, baada ya kufanya mabadiliko sahihi,bonyeza kitufe cha update ili kuhifadhi.
4. Utaona ujumbe wa mafanikio “Site has been updated/eneo limesasishwa”.