Kutafuta Na Kuongeza Taarifa Endelevu Kwenye T-Log

Kutafuta T-Log:

1. Bonyeza kwenye tabu ya Individual kutoka kwenye dashibodi.

2. Bonyeza kwenye kiunganishi cha Search pembeni na T-Log.

3. Chagua vigezo vya kutafuta vilivyosahihi kutoka kwenye ukurasa wa T-Log Search.kuchagua Create Date From ni wajibu.unaweza pia kutumia maeneo  yaliyowasilishwa kwa ajili ya kuchuja na kupunguza matokeo ya unachotafuta..

Fomu ya kujaza inaweza kuchujwa kwa jina Create Date To,jina la programu,aliyeweka,tarehe ya matengenezo n.k bonyeza kwenye kitufe cha Search baada ya kuchagua kigezo cha kutafuta.

4. Sasa matokeo ya T-Log ulizotafuta zitaoneshwa kwenye orodha ya T-Log kulingana na vigezo vya kutafuta vilivyochaguliwa.

5. Kutoka kwenye ukurasa wa T-Log ukibonyeza kwenye alama ya i,utaweza kuona Form ID ,Entered by na Date na Time wa T-Log.bonyeza kwenye alama x kufungua box.

Ongeza Taarifa Za Edelevu:

6.Bonyeza kwenye kitufe cha Add Follow-up kwenye ukurasa wa T-Log ili kuongeza taarifa ya kuendeleza T-Log.

7. Hii itafungua ukurasa wa T-Log ambapo Type, Notification Level na Summary  utakuwa umejazwa tayari kabla ya hapo.ingiza maelezo ya kuendeleza kwenye eneo la Description halafu bonyeza kitufe cha Submit.

8. Hii itaonesha ujumbe wa mafanikio.Bonyeza nyuma kutengeneza kiunganishi kwa ajili ya kutazama T-Log iliyosasishwa.

9. Kwenye sehemu ya Follow-up kutakuwa na orodha ya T-Log za kuendeleza.bonyeza kwenye kiunganishi utakachopendelea kutoka kwenye orodha kuona taarifa husika za kuendeleza.

 Share on WhatsApp

Related user guides