Kutoa Jukumu la Kutengeneza T-Log Isiyokuwa ya tu Binafsi
Kuna vitu viwili ambavyo ni lazima viwezeshwe ili kuruhusu mtumiaji kuandaa T-log isiyokuwa ya mtu binafsi.watumiaji wenye jukumu la utawala la provider setup wanaweza kuweka mapendekezo T-Log ili kuandaa T-log isiyokiwa ya mtu binafsi
- Kuwezesha kuandaa T-log isiyokuwa ya mtu binafsi
1. bonyeza kwenye kiunganishi cha preferences pembeni na provider kutoka kwenye tabu ya Admin.
Ukurasa wa provider preferences utaoneshwa.
2. kwenye upande wa T-log,chagua yes kwa ajili ya kuruhusu kutengeneza T-log isiyokuwa ya mtu binafsi.
Watumiaji wataweza kuruhusu uchaguzi za mda wa kuingia na mda wa kutoka wa T-Logs kwa kuchagua chaguzi ya yes kwa ajili ya kuruhusu mda wa kuingia na mda wa kutoka.
3. Shuka hadi kwenye ukurasa wa chini na ubonyeze kitufe cha Save.
Ujumbe wa Done utaoneshwa kama taarifa zote stahiki zimehifadhiwa kiusahihi.
- Kutoa mamlaka ya utumiaji katika programu ya T-log
1. Bonyeza kwenye kiunganishi cha manage pembeni na user priviledge kwenye tabu ya Admin.
2. Chagua mtumiaji stahiki kutoka kwenye ukurasa wa User list.
Bonyeza kwenye Login Name ya mtumiaji.hii itafungua ukurasa wa User Privilege
3. Kutoka kwenye upande wa agency wide and administrative Roles chagua T-Log program Access.
Bonyeza kwenye kitufe cha Save chini ya ukurasa wa User Privilege kuhifadhi mabadiliko
Ikiwa taarifa zote zimesasishwa ipasavyo,ujumbe huu Your new Privileges are currently in effect utaoneshwa juu ya kurasa ya Dashboard.