Uwakala wa eneo na majukumu ya utawala

Wakala wa eneo na majukumu ya utawala ni majukumu ambayo yanaruhusu mtumiaji wa Therap kufanya majukumu tofauti ya kiutawala au inaruhusu ufikiaji wa moduli tofauti kwenye mfumo.

Heshima zingine zinapewa kuhusu majukumu ya super rol.ili kujua zaidi kuhusu jukumu kuu(super role) bonyeza hapa

Watumiaji wenye heshima ya jukumu la utawala wataweza kutoa majukumu stahiki kwa watumiaji.

1. bonyeza kwenye manage pembeni na user priviledge kwenye tabu ya Admin.

ISP program on therap dashboard

2.chagua user kutoka kwenye user list kwa ambaye unataka kumpa jukumu.

select program from isp program list

Majukumu ya utawala yanapatikana chini ya ukurasa wa user priviledge.

select program from isp program list

Maelezo ya kila jukumu la utawala,na idhini inayompa mtumiaji ndani ya mfumo,umepewa chini

Majukumu ya utawala

Super Admin  Inamruhusu mtumiaji kupea jukumu la ‘admini mkuu’ kwa watumiaji wengine (wenye jukumu la ‘user priviledge’) kusasisha wenye hadhi ya jukumu la Admin mkuu(wenye jukumu la ‘user priviledge’) badili password kwa ajili ya admini wakuu(wenye jukumu la kubadili password) lazimisha au lemaza kitambulisho cha sababu mbili kwa admin wakuu (wenye jukumu la ‘user’),kagua mawasiliano salama (Scomm) ujumbe,
User Tengeneza watumiaji,hariri taarifa za mtumiaji,huisha/zimisha watumiaji,funga/fungua watumiaji,ruhusu/zuia watumiaji kujirekebishia password, agiza watumiaji kutoka kwenye excel,na namba za learning za watumiaji wa waganga.
Individual Ruhusu kuchukua watu binafsi,hariri taarifa za watu binafsi,badilisha cheo cha IDF kutoka kwenye ‘deleted/kufuta) kwenda kwa ‘ wanaosubiri kuingia/pending admission),ongeza watumiaji binafsi kwenye programu,agiza watumiaji kutoka kwenye excel,taarifa za mawasiliano za watumiaji binafsi,taarifa za utawala za watu binafsi zilizohifadhiwa.pata nafasi ya kutazama,kuongeza,na kuhariri utambuzi ,aleji/mzio,maelezo ya mapema na rekodi za kuzingatia
Provider Setup Inamruhusu mtumiaji kupata kumbukumbu ya mtoa huduma,sera za password,vyeo,ukurasa wa splash,jukumu kuu,programu,eneo,ukurasa wa mtu binafsi,makubaliano ya kujisajili,sina ya idhini,maswali,kiolezo cha case note,historia ya muajiri,historia ya mapendeleo ya muajiri,njia za kueka maksi katika programu za ISP,template ya kiwango cha utunzaji,ufwatiliaji wa mda,chaguzi za utoaji huduma kwenye tabu ya Admin 
Activity Tracking Inaruhusu washiriki kufwatilia shughuli zozote zinazofanywa kwenye fomu za Therap na mtumiaji wa taasisi.
Admin Report Inamruhusu mtumiaji kutazama ripoti kwenye taarifa za mtumiaji za demographic
Caseload Inaruhusu watumiaji kutengeneza caseload mpya na kupata orodha ya caseload zote pamoja na zilizohifadhiwa.
User Privilege Inamruhusu mtumiaji kuhariri mapendeleo,kazi za mwenye jukumu la Admin,kutafutamapendeleo ya watumiaji yaliyohifadhiwa
Shared Contact Inamruhusu mtumiaji kutengeneza mawasiliano mapya ya pamoja,kutazama orodha ya mawasiliano ya pamoja,kutoa tena mawasiliano ya pamoja. 
Reset Password Inamruhusu mtumiaji kubadili password kwa ajili ya watumiaji wengine
Scoring Method Inamruhus mtumiaji kupata njia za maksi katika programu za ISP kwenye tabu ya admini.tengeneza njia za maksi mpya kwenye programu za ISP, na kiolezo cha programu za ISP.hariri njia za maksi maalum zinazotengenezwa na zinazosubiri kukubaliwa na rasimu za programu za ISP

Module Roles

T-Log Program Access Tengeneza na tazama programu zinazohusiana na T-log kutoka kwenye link ya ‘create T-Log without an individual’ baada ya kuchagua programu kwa ajili ya T-Log (kama programu zinazohusiana na T-Log zimeidhinishwa ndani ya mapendeleo ya mtoa huduma)
ISP Program Template Submit Tengeneza (hifadhi) programu za ISP mpya,futa programu za ISP zilizoanza kuandikwa,tumia programu za ISP zilizoidhinishwa,tazama programu za ISP za kimataifa kwenye maktaba ya kimataifa.
ISP Program Template Approve Tengeneza (hifadhi) programu ya ISP mpya,idhinisha programu za ISP ,futa au sitisha programu za ISP,tazama au agiza programu za ISP za kimataifa kutoka kwenye mkataba ya kimataofa
ISP Program Template View Tazama kiolezo/template cha programu ya ISP,tazama kiolezo/template cha programu za ISP za kimataifa
Report Library Upatikanaji wa ripoti za maktaba,inayohusisha ripoti za excel za eneo la uwakala. Kumbuka: upatikanaji wa ripoti Haina umuhimu katika jukumu kuu,caseload na majukumu mengine
Assigned Report View Inaruhusu watumiaji kupewa ‘ripoti zinazoweza kutumiwa na mtumiaji’ kutoka kwenye mkataba ya ripoti,ambazo wataweza kuzitengeneza bila ya kuona/kupata ripoti zote katika maktaba
Provider Questionnaire Form Submit Hifadhi na wasilisha fomu za maswali,tafuta fomu za maswali zilizopo.
Provider Questionnaire Form Update Tafuta na sasisha fomu za maswali ambazo zipo kwenye  hali ya ‘matengenezo’ na hali ya ‘kuwasilishwa’.

SComm Roles

Enable Full SComm

Pokezana ujumbe wa SCOMM(jumla/individual care) andika kwa wafanyakazi ndani ya taasisi.pokea ripoti za nje ya mtandao.

Individual Care SComm Send Only Pokea na tuma ujumbe wa SComm za kawaida na pokea ujumbe wa SComm za individual care kwa watu binafsi wenye caseload
Enable Limited SComm Badilisha ujumbe wa SComm (kwa jumla/individual care) andika ndani ya wanachama kwa ajili ya watumiaji wa kikundi cha kawaida.pokea ripoti za nje ya mtandao.

Common Roles

Enable 13 Months Search (T-Log, GER) Inamruhusu mtumiaji kutafuta baada ya miezi 13 na pia kutafuta kutumia kiwango cha tarehe ya mpaka miezi 13 kama kutafuta itapunguzwa kwa kutumia jina la mtu binafsi au kitambulisho cha fomu
Enable Calendar Inaruhusu mtumiaji kupata kalenda ya Therap
Create Access on Discharged or Deceased Individuals Inamruhusu mtumiaji kutengeneza fomu mpya za watumiaji binafsi walioruhusiwa au waliokufa
Export Excel Inamruhusu mtumiaji kupakua faili za excel kutoka kwenye ukurasa wa matokeao ya kutafuta katika mfumo.

 Share on WhatsApp