Maelezo ya majukumu

Mtumiaji anaweza kufanya kitendo katika mfumo wa Therap ikiwa mtumiaji amepewa jukumu maalum ndani ya jukumu la super role.

Maelezo ya kuhusu killa jukumu linaidhinisha nini yameorodheshwa chini:

Health Tracking

HT Submit Hifadhi au wasilisha fomu mpya za HT(futa fomu za HT zilizohifadhiwa ambazo zilitengenezwa na mtumiaji mwenyewe),tengeneza fomu za historia ya dawa,tengeneza fomu mpya za kukagua dawa,ongeza,sasisha,futa,tafuta na kuangalia fomu za kuagiza dawa,tafuta na uone fomu za dawa zilizoidhinishwa na futa fomu za kukagua dawa,tengeneza listi ya kukagua dawa zilizohai,na tazama historia ya masahihisho ya dawa.
HT Update Sasisha (hariri) hifadhi au wasilisha fomu ya HT,sitisha fomu za HT,tazama ripoti za pande tofauti,tazama ripoti za kina/za mwezi na tafuta HT zilizohifadhiwa na historia ya fomu za dawa,ongeza,sasisha,futa,tafuta na tazama fomu za kuagiza dawa,,tazama historia ya masasisho ya fomu za HT na fomu za kukagua dawa,tafuta na hariri fomu za dawa zilizokubaliwa,tazama fomu za dawa zilizokubaliwa na zilizofutwa,tengeneza listi ya kukagua dawa zilizohai kutoka kwenye ukaguzi  wa dawa.
HT View Tazama fomu za HT zilizokubaliwa,gawanya ripoti, na mwezi/ripoti za kina,tafuta na tazama fomu za kuagiza dawa,tafuta na tazama ripoti za dawa zilizokubaliwa na kufutwa katika Muundo wa kusoma pekee,tazama historia ya masasisho ya ukaguzi wa dawa.
HT Delete Futa fomu za HT zilizohifadhiwa au zilizowasilishwa,tafuta au tazama fomu za kuagiza dawa,tafuta au futa fomu za kukagua dawa zilizokubaliwa,tafuta na tazama fomu za ripoti za kukagua dawa zilizokubaliwa na zilizofutwa,tazama masahihisho ya historia ya kukagua dawa.
Health Care Report Tengeneza ripoti kwa kutumia fomu za Approved/Discontinued HT,fomu za Data individual,na approved GERs,futa ripoti za Health care zilizohifadhiwa.
HT Review Kazi ya health Tracking Review inamruhusu mtumiaji kutazama fomu za Health Tacking ambazo zimeundwa au kusasisha katika kipindi cha siku 7 za nyuma.

Individual Data

Individual Data View Tazama taarifa za mtu binafsi mwenye hadhi ya ‘aliyekubaliwa’ tu
Individual Data Edit Hariri maelezo ya taarifa za mtu binafsi (isipokiwa Jima la kwanza,jina la kati,jina la mwisho,tarehe ya kuzaliwa,jinsia,tarehe aliyokubaliwa,tarehe aliyoruhusiwa kuondoka,tarehe ya kifo,saa katika eneo la mtu binafsi,namba ya kitambulisho)
Individual Admit/Discharge Ingiza au ondoa mtu binafsi kutoka kwenye taasisi.pia inamruhusu watumiaji kuhariri taarifa za individual data

Individual Home

Individual Home Page Angalia ukurasa wa individual home page

ISP Data

ISP Data Tambua programu za ISP,Hifadhi taarifa za ISP,sasisha taarifa za ISP zilizowekwa na mtumiaji mwenyewe.
ISP Data Update Sasisha taarifa za ISP,tafuta taarifa za ISP zilizohifadhiwa,tazama historia za taarifa za ISP ziluzosasishwa.
ISP Report Tengeneza ripoti za taarifa za ISP,futa taarifa za ripoti za ISP, tazama taarifa za ripoti za ISP zilizofutwa.

ISP Program

ISP Program Submit Tazama zinazoandaliwa ( zilizohifadhiwa na mtumiaji),zilizokubaliwa,na programu za ISP zilizositishwa,Hifadhi na wasilisha programu za ISP,Kopi programu za ISP zilizochapishwa,tumia programu za ISP zilizochapishwa kwa ajili ya watu binafsi.
ISP Program Approve Tazama zinazoandaliwa,zinazosubiri kukubaliwa,na programu za ISP zilizositishwa,idhinisha programu za ISP,Kopi programu za ISP zilizokubaliwa,tengeneza ripoti za kukiri zinazosubirishwa na ripoti za kukiri,tazama historia ya masahihisho ya programu za ISP.
ISP Program Update Tazama programu za ISP zilizokubaliwa na zilizositishwa,sasisha programu za ISP zilizokubaliwa.
ISP Program and Data Delete Tazama programu za ISP zinazotengenezwa,zilizosubirishwa kuidhinishwaa,zilizoidhinishwa,zilizofutwa na zilizositishwa,futa au sitisha programu za ISP,futa data za ISP,tazama data za ISP zilizofutwa.
ISP Program View Tazama programu za ISP zilizokubaliwa  na zilizositishwa.

T-Log

T-Log Entry Wasilisha T-logs
T-Log View Tazama T-Logs
T-Log Update Sasisha /hariri T-log zozote zilizowasilishwa na tafuta T-Log zozote zilizohifadhiwa
T-Log Delete Tazama T-log zilizowasilishwa na kufuta,futa T-log zilizowasilishwa

Maelezo ya ziada yatapatikana kwenye tengeneza na hariri ukurasa wa majukumu makuu

 Share on WhatsApp

Related user guides