Ripoti ya kutafuta T-log
Watumiaji wanaweza kutoa ripoti za moduli ya T-log ili kukusanya taarifa zinazohusiana na mtu binafsi.
1. Bonyeza kwenye kiunganishi cha Search kwenye safu ya T-log chini ya tabu ya individual.

2. Kwenye ukurasa wa T-log Search, weka Individual Name(jina la mtu binafsi), Create Date From,(tarehe ambayo ilitengenezwa, na uchague Status(hali). Bonyeza kwenye kitufe cha Search kilichopo chini.

Muhimu: Kutafuta T-log za watu wote acha wazi eneo la Individual.
Chaguo zingine zinaweza kujazwa kwenye eneo za search criteria ili kupunguza unachotafuta ukipenda.
Notification Level : Low, Medium, High.
Type: Health, Notes, Follow-up, Behavior, Contacts, General.
3. Bonyeza kwenye kitufe cha kutafuta ili kuonesha majibu ya kutafuta.

Muhimu: Unaweza kubonyeza kwenye jina la mtu binafsi kwa safu ili kuona fomu ya T-log husika.
4. Ili kutazama majibu ya kutafuta kwa mfumo wa excel,bonyeza mojawapo kati ya viunganishi vya Excel Exports iliyopo chini kushoto.

Muhimu: Excel export ina chaguzi mbili: Export to Excel, na Export to Detailed Excel.
5. Safu za kwanza za Excel Report zitaonekana hivi.

Safu za kwanza za Export to Detailed Excel zitaonekana hivi.
