kutazama na kutambua T-log
Watumiaji waliopewa jukumu la T-log view wanaweza kutazama na kutambua T-log kutoka kwenye tabu ya To Do kwenye Dashboard.
1. Bonyeza kwenye tabu ya To Do kwenye Dashboard.

2. Bonyeza kwenye kiunganishi cha View kwenye eneo la T-log kwenye tabu ya To Do.

Ukurasa wa T-Log Search utafunguka na kuonesha orodha ya T-log zote.

3. Bonyeza kwenye jina la Individual kwa ajili ya kuona orodha ya T-log unayopendelea.

T-log za mtu husika zitaoneshwa.

4. Bonyeza kwenye kitufe cha Acknowledge chini ya ukurasa ili kutambua T-log.hii itaweka alama kwenye T-log kuwa imesomwa.unaweza kubonyeza kwenye kitufe cha Acknowledge & Next ,ili kutambua T-log iliyopo na kwenda kwenye T-log inayofwata kwa ajili ya kuangalia na kutambua.

Muhimu:
- Kwa kubonyeza kitufe cha Acknowledge, orodha ya T-log za ukurasa wa T-Log Search itatokea tena.kutoka hapo watumiaji wataweza kutazama na kutambua T-log nyinginezo kama kuna uhitaji.

- Kubonyeza kwenye kitufe cha Acknowledge & Next kutaweka alama kwenye T-log ya iliyosomwa na kufungua T-log nyingine.
